Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonaz pamoja na meza kuu wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Mapinduzi ya Kidigitali