Katibu mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza wakati wa mdahalo wa ulioandaliwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia katika viwanja vya maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.