Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe alipotembelea banda la Tume ya Tanifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwenye maonesho ya SADC-2019 yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere ambapo aliweza kujionea teknolojia mbalimbali zilizotengenezwa na vijana waliowezeshwa na COSTECH na kufikia kuwa na makampuni yao binafsi