Wadau wa Sayasi, Teknolojia na Ubunifu wakiwa katika Mjadala wa Kitaifa kuhusu Maendeleo ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (06/07/2020) lililofanyika katika maonesho ya Sa asaba jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuadhimisha siku ya Sayansi hapa nchini.