SIKU YA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU

SIKU YA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU

Date: 2020-07-10


Maadhimisho ya Siku ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (STU) yaliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Julai 6,2020), (Wa pili kulia) Mgeni rasmi Dkt. Leonard Akwilapo, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi , na Teknolojia, Profesa Makenya Maboko (wa kwanza kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya  Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH), (Kulia) Prof. Maulilo Kipanyula, Mkurugenzi wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Dkt Amos Nungu, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi ya Sayansi na Teknolojia (wa pili kushoto)