TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YASHIRIKIANA NA WADAU MBALIMBALI KUFANYA MABORESHO YA MFUMO WA KIELETRONIKI KUSIMAMIA TAFITI NA BUNIFU NCHINI

TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YASHIRIKIANA NA WADAU MBALIMBALI KUFANYA MABORESHO YA MFUMO WA KIELETRONIKI KUSIMAMIA TAFITI NA BUNIFU NCHINI

Date: 2020-09-22

Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH, Dkt. Amos Nungu akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maboresho ya mfumo wa Keletroniki wa Bunifu na TafitiMkurugenzi wa Kituo cha Kuendeleza na Kuhawilisha Teknolojia, Dkt Salha Mohammed Kassim(Kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimemnti ya Maarifa, Dkt Philibert Luhunga wakifuatilia kwa Pamoja kikao


Sehemu ya Wataalamu kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa -NIDA na wafanyakazi wa Tume wakifuatilia Kikao.


Mkurugenzi wa Uratibu na Uendelezaji wa Utafiti (DRCP), Dkt .. Bugwesa Zabron Katale (kulia)  akiwa pamoja na watumishi wandaamizi wa Tume wakifuatilia Kikao


 Wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia na Wataalamu kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa – NIDA katika picha ya Pamoja mara baada ya Ufunguzi wa Kikaokazi cha kuboresha mfumo wa kieletroniki wa Kusimamia Tafiti na Bunifu.