
Dkt. Nungu achaguliwa mjumbe wa Governing Board ya GRC
Katika kikao cha 13 cha mwaka Global Research Council (GRC) kinachofanyika Riyadh, Saudi Arabia, Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH Dkt. Amos Nungu amechaguliwa kuwa mjumbe wa Governing Board ya GRC.https://grc2025.kacst.gov.sa/