TANZANIA COMMISSION FOR SCIENCE AND TECHNOLOGY
(COSTECH)

News

DG COSTECH DKT. AMOS NUNGU AFUNGUA MAONESHO YA WIKI YA UTAFITI NA UBUNIFU CoET UDSM

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Dkt. Amos Nungu amefungua maonesho ya wiki ya Utafiti na Ubunifu yanayoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam kupitia CoET kuanzia tarehe 5 mpaka 7 Mei, 2025