TANZANIA COMMISSION FOR SCIENCE AND TECHNOLOGY

Development

#Development

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Yawajengea Uwezo Mameneja Usimamizi wa Tafiti Nchini

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt. Amos Nungu amehitimisha kilele cha mafunzo ya usimamizi wa Tafiti kwa kuwapatia vyeti washiriki wote 14, wanaojumuisha wakufunzi...

Thu, Nov 25, 2021 10:54 AM

#Development

Watafiti na Waandishi wa Habari Wakutanishwa Pamoja na Kujengewa Uwezo

Mafunzo hayo yamefanyika kwa kwa siku mbili (2) kuanzia Jumanne ya Septemba 5, 2021 mpaka Jumatano ya Septemba 6, 2021 katika ukumbi wa mikutano ulipo katika Ofisi ya Mkuu wa...

Thu, Nov 25, 2021 10:54 AM

#Development

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Yawakutanisha Wadau wa Utafiti Nchini

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imekutanisha Wadau wa shughuli za Utafiti nchini ili kujadili kwa pamoja namna bora ya kuboresha taratibu na mifumo mbalimbali inayotumika kusajili Tafiti...

Fri, Mar 11, 2022 9:55 AM

#Development

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Yazindua Program ya OFAB kwa Mwaka wa 2022

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa Semina kwa waandishi wa habari za Kisayansi kufuatia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

Fri, Mar 11, 2022 3:14 PM

#Development

The 3rd Scientific Research Paper writing (3rd SRP) Training Workshop - November 2021

COSTECH is announcing call for third research paper writing for young researchers and early career research.

Key dates:

Call for applications release: 15th October 2021

Application deadline: 10th November 2021.

Late and...

Tue, Mar 29, 2022 1:15 PM

#Development

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Yawajengea Uwezo Mameneja Usimamizi wa Tafiti Nchini

Aidha, Dkt. Nungu aliwashukuru washiriki kujitokeza na kuongezea kuwa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia imekuwa ikifanya utaratibu na utamaduni wa kusimamia rasilimali fedha na manunuzi ili kusimimia vyema...

Tue, Mar 29, 2022 1:17 PM

#Development

Application for SAIS SLP Startup Program

Invitation for  application for SAIS SLP Startup Program.
For more information, Please click here

Please see the important dates below:

18.11.2021 12.00 pm (UTC +2)  ...

Tue, Mar 29, 2022 1:21 PM

#Development

WE-STAR Call for Fellowships

We are very pleased to announce a new funding opportunity launchedby ICGEB in collaboration with MAECI (Italian Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation):the"WE-STAR Programme - PhD and Postdoctoral training scheme for...

Tue, Mar 29, 2022 1:22 PM

#Development

An open call for proposals under the support to industrialization and support to productive sectors (sips) programme

  • The SADC Secretariat  invites soft copy Full Grant Copy (Concept Notes together with Full Applications) from eligible and reputable firms interested to receive the grants of different sizes as...

    Tue, Mar 29, 2022 1:24 PM

#Development

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Yawakutanisha Wadau wa Utafiti Nchini

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imekutanisha Wadau wa shughuli za Utafiti nchini ili kujadili kwa pamoja namna bora ya kuboresha taratibu na mifumo mbalimbali inayotumika kusajili Tafiti...

Tue, Mar 29, 2022 1:41 PM

#Development

COSTECH Yaendelea Kutoa Elimu kwa Watafiti na Waandishi wa Habari Jijini Arusha

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) inaendelea kutoa elimu kupitia mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi, Teknolojia na Ubunifu na kutoa rai kwa waandishi wa habari na...

Tue, Mar 29, 2022 1:46 PM

#Development

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Omary Juma Kipanga akisoma nyaraka za Utafiti mara baada ya kukata utepe wa uzinduzi wa vipaumbele vya utafiti.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Omary Juma Kipanga akisoma nyaraka za Utafiti mara baada ya kukata utepe wa uzinduzi wa vipaumbele vya utafiti.

Tue, Mar 29, 2022 2:22 PM

#Development

Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH Dkt. Amos Nungu akitoa neno la ukaribisho siku ya uzinduzi wa vipaumbele vya Utafiti siku ya Ijumaa tarehe 25 Machi, 2022.

Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH Dkt. Amos Nungu akitoa neno la ukaribisho siku ya uzinduzi wa vipaumbele vya Utafiti siku ya Ijumaa tarehe 25 Machi, 2022.

Tue, Mar 29, 2022 2:47 PM

#Development

Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH Dkt. Amos Nungu akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari wakati wa tukio la media Symposium iliofanyika tarehe 7 Mei, 2022

Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH Dkt. Amos Nungu akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari wakati wa tukio la media Symposium iliofanyika tarehe 7 Mei, 2022

Thu, May 12, 2022 6:33 AM

#Development

MHE. KIPANGA; SERIKALI KUFANYA MAPITIO YA SHERIA NAMBA 7 YA COSTECH

MHE. KIPANGA; SERIKALI KUFANYA MAPITIO YA SHERIA NAMBA 7 YA COSTECH

 Dar es salaam

Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia (WyEST) inatarajia kuanza mchakato wa mapitio ya Sheria...

Wed, Jul 13, 2022 1:20 PM

#Development

EDCTP project

           ...

Wed, Sep 28, 2022 6:09 AM