TANZANIA COMMISSION FOR SCIENCE AND TECHNOLOGY

MATUKIO YA WIKI YA UBUNIFU NA MAKISATU 2022

Published at: Tue, Jun 7, 2022 12:07 PM

#HABARI Makamu wa Kwanza wa Rais - Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akiwasili katika Uzinduzi wa maadhimisho ya Wiki ya Ubunifu Tanzania ambayo ndani inajumuisha Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu - MAKISATU 2022, yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Stadium - Jjini Dodoma leo tarehe 16 Mei 2022.

 
Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, katika Hafla ya Uzinduzi Wiki ya Ubunifu Kitaifa na Mashindano ya MAKISATU kwa Mwaka huu wa 2022. 
 
 
Ufunguzi
 
Makamu wa Kwanza wa Rais - Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (watatu kushoto) akipokelewa na mwenyeji wake, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (mwenye Tshirt ya kijivu) katika uzinduzi rasmi wa Maadhimisho ya Wiki ya Ubunifu Tanzania ambayo ndani yake inajumuisha Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu - MAKISATU 2022, yanayofanyika uwanja wa Jamhuri Stadium - Jijini Dodoma leo tarehe 16 Mei 2022
 
 Dr. Hussein Ali Mwinyi Ikulu habari Zanzibar Ikulu Mawasiliano wizara_elimutanzania 
Prof Eliamani Sedoyeka VETA Funguo Tanzania UK in Tanzania Vodacom Tanzania 
 
#WUtz2022 #costechTANZANIA #wutz2022 #sayansiteknolojiaubunifukwauchumiendelevu 
#WUtz2022 #costechTANZANIA #wutz2022 #sayansiteknolojiaubunifukwauchumiendelevu